Bibi wa miaka 70 ashika bunduki kupigana na Putin “Naipenda nchi yangu”

 

Kama Waswahili wanavyosema,Vita haichagui umri wala sura ya Mtu, basi ikushangaze hii kuhusu mzozo wa Kivita baina ya Ukraine na Urusi.

Wakati Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy akiwataka wananchi wake na watu wengine wanaotaka kuisaidia nchi hiyo wajitokeze kupigana vita na Urusi, miongoni mwa waliojitokeza ni Bibi wa miaka 70

Bibi huyo amejitokeza baada ya kusikia Ofa ya Mafunzi ya Kijeshi kutoka kwa Azov Battalion ambaye amewataka raia kufika kwake ili wapate mafunzo ikiwemo matumizi ya silaha.

Stori Kamili unaweza ukabonyeza play kukufahamu zaidi.

Bibi wa miaka 70 ashika bunduki kupigana na Putin “Naipenda nchi yangu” Bibi wa miaka 70 ashika bunduki kupigana na Putin “Naipenda nchi yangu” Reviewed by Cadotz media on 11:05 PM Rating: 5

No comments

Comment to Cadotz

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

<<< rudi