Breaking: Mkuu wa Majeshi Tanzania Mabeyo ametoa Msamaha kwa vijana 853 wa JKT

 

Ni Machi 5, 2022 ambapo Luteni Kanali Gaudentius Gervas Ilonda, Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano (JWTZ) anazungumza na waandishi wa habari.

Unaweza ukatazama live mubashara ikitolewa taarifa ya Mkuu wa Majeshi Tanzania kuhusu kutoa msamaha kwa vijana 853 wa JKT waliofukuzwa.

Breaking: Mkuu wa Majeshi Tanzania Mabeyo ametoa Msamaha kwa vijana 853 wa JKT Breaking: Mkuu wa Majeshi Tanzania Mabeyo ametoa Msamaha kwa vijana 853 wa JKT Reviewed by Cadotz media on 10:58 PM Rating: 5

No comments

Comment to Cadotz