Picha 18: Daraja la Tanzanite lililojengwa juu ya bahari DSM laanza kutumika bure

 

Hizi ni picha za Mchana kwenye Daraja la Tanzanite ambalo limejengwa juu ya bahari kutoka maeneo ya Aga Khan mpaka Osterbay Dar es salaam ambalo tayari magari yameanza kupita rasmi February 1, 2022.

Waziri Mbarawa juzi alikagua Daraja hilo na kutangaza kuanza kutumika kwake baada ya kukamilika kwa 100% likiwa na urefu wa KM 1.03 na upana wa mita 20.5 huku likiwa limegharimu zaidi ya Tsh. Bilioni 240 na litakua likitumika bure kwa Wananchi wote.

Daraja hili limejengwa na Mkandarasi GS Engineering & Constructiin Corp huku alama za Barabarani kwenye Daraja hilo zikiwa zimechorwa na Kampuni ya Kitanzania ya Stripes n Signs

 

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.


Picha 18: Daraja la Tanzanite lililojengwa juu ya bahari DSM laanza kutumika bure Picha 18: Daraja la Tanzanite lililojengwa juu ya bahari DSM laanza kutumika bure Reviewed by Cadotz media on 7:23 PM Rating: 5

No comments

Comment to Cadotz

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

<<< rudi