Kesi ya Mbowe:Shahidi Mwanajeshi akana kukamatwa

 

Shahidi wa 12 upande wa Jamhuri Luteni Denis Urio katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu amekataa kuwa aliwahi kukamatwa na kuhojiwa katika kituo chochote cha Polisi licha ya washtakiwa kudai waliwahi kumuona.

Kesi ya Mbowe:Shahidi Mwanajeshi akana kukamatwa Kesi ya Mbowe:Shahidi Mwanajeshi akana kukamatwa Reviewed by Cadotz media on 7:18 PM Rating: 5

No comments

Comment to Cadotz

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

<<< rudi