Zamaradi afunguka kwanini kamuweka mume kwenye bango

 

NI Zamaradi Mketema ambae time hii amefika katika studio za Cadotz 

“Bango lenye picha ya Mume wangu litakaa pale kwa mwezi mmoja, ni Mwanaume ambaye Mwanamke yeyote angetamani kuwa nae, wengine wanasema usimsifie Mwanaume ila kwangu ni tofauti, naishi kwa moment niliyopo kama ananifurahisha kwanini nisiseme?”- Zamaradi

Zamaradi afunguka kwanini kamuweka mume kwenye bango Zamaradi afunguka kwanini kamuweka mume kwenye bango Reviewed by Cadotz media on 6:43 AM Rating: 5

No comments

Comment to Cadotz

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

<<< rudi