Korea Kaskazini yarusha Kombora jingine leo, ni baada ya kuiunga mkono Urusi

 

Korea Kaskazini imefanya jaribio jingine la kombora leo Jumamosi ambalo linakuwa jaribio la tisa ndani ya mwaka huu pekee kufanywa na Nchi hiyo baada ya jaribio la Wiki iliyopita.

Korea Kusini imethibitisha kufanywa kwa jaribio hilo la kombora hilo lililofanywa na Nchi jirani “Korea Kaskazini wamerusha kombora kuelekea Mashariki na linahisiwa limeelekezwa Baharini”.

Korea Kaskazini yarusha Kombora jingine leo, ni baada ya kuiunga mkono Urusi Korea Kaskazini yarusha Kombora jingine leo, ni baada ya kuiunga mkono Urusi Reviewed by Cadotz media on 11:19 PM Rating: 5

No comments

Comment to Cadotz

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

<<< rudi