Stori Kuhusu Ali Kiba Kutoa Wimbo Mpya Hii Hapa

Alikiba anatarajia kuachia wimbo wake mpya alioupa jina ‘Aje.’

Hajasema wimbo huo utatoka lini lakini dalili zinaonesha kuwa unaweza ukaachiwa mwezi huu.

Huo unakuwa wimbo wake mpya mwenyewe tangu aachie Lupela. Kwa sasa Kiba anafanya vizuri na wimbo aliofanya na Sauti Sol, Unconditionally Bae.

Stori Kuhusu Ali Kiba Kutoa Wimbo Mpya Hii Hapa Stori Kuhusu Ali Kiba Kutoa Wimbo Mpya Hii Hapa Reviewed by Unknown on 10:42 AM Rating: 5

No comments

Comment to Cadotz

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

<<< rudi