Mjue Nancy Njozy Chipikizi Mpya Anayekuja kwa Kasi Bongo Movies

Anaitwa Nancy Njozy Amefanya  filam moja inaitwa Seven Dadaz storyake ni madada 7 wanaofanya kazi ya kujiuza katika Movie hiyo yupo Mlela na Mastaa Wengine na  nyingine aliyofanya bi Dada huyu ni hii inayo kuja Inaitwa Bonge La Bwana ndani Filam hiyo yupo Jb,Mtambalike na Dk Chen , Pia Nancy anaonekana kwenye Moviez Zingine kama Uyoga ya Mtambalike na ameshoot Video atu Kama Video Model  Nataka kulewa ya Diamond, Jimwage ya nature na Ayaya ya Speinceft Alikiba na anatarajia kushoot Wimbo mpya wa Abdu kiba...!
Mjue Nancy Njozy Chipikizi Mpya Anayekuja kwa Kasi Bongo Movies Mjue Nancy Njozy Chipikizi Mpya Anayekuja kwa Kasi Bongo Movies Reviewed by Unknown on 10:42 AM Rating: 5

No comments

Comment to Cadotz

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

<<< rudi