Nalia Nikimaliza Kufanya Mapenzi..Naombeni Ushauri Jamani



Mwenzenu nina tatizo ambalo mpaka leo sijajua linasababishwa na nini! Kwa kifupi ni kwamba nikifanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mtu, huwa nikimaliza tendo nalia sana, sijajua ni kwanini haswa.

Yaani najikuta nalia haswa kama nimepatwa na msiba. Tena akinikuna vizuri ndo nalia na kwikwi kabisa tukishamaliza tendo.

Tatizo hili lilinianza toka nilipo bikiriwa na huisha nikishamzoea huyo mpenzi wangu, embu naombeni ushauri nifanyeje ili nisilie? maana sometimes boyfriend wangu anaweza akawa anakwazika bila mimi kujua. Na je does it exist to another woman? or ni mimi tu?

Ushauri jamani
Nalia Nikimaliza Kufanya Mapenzi..Naombeni Ushauri Jamani Nalia Nikimaliza Kufanya Mapenzi..Naombeni Ushauri Jamani Reviewed by Unknown on 10:40 AM Rating: 5

No comments

Comment to Cadotz

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

<<< rudi