Jeshi la SYRIA lavunja eneo la ISLAMIC STATE
Mwanajeshi mmoja alisema kuwa jeshi la SYRIA limefanikiwa kufika katika eneo la kambi ya jeshi la anga la KWEIRES na kuwaachia huru zaidi ya wanajeshi 100 waliokua wameshikiliwa tangu mwaka 2013.
Televisheni ya SYRIA imeonesha maeneo ya nje ya kambi hiyo ya jeshi la anga yaliyokombolewa na jeshi na kusema kuwa, idadi kubwa ya wapiganaji wa kikundi cha IS wameuawa wakati wa operesheni hiyo
Jeshi la SYRIA lavunja eneo la ISLAMIC STATE
Reviewed by Unknown
on
12:29 PM
Rating:

Post a Comment