Mchakato wa kumtafuta Naibu Spika waanza, hizi ndio taratibu za Bunge

 

Katibu wa Bunge amesema kufuatia kujiuzulu kwa aliyekuwa Naibu Spika wa Bunge Dr. Tulia Ackson January 31,2022 baada ya kuteuliwa na CCM kugombea Uspika, nafasi ya Naibu Spika iko wazi na uchaguzi wa kujaza nafasi hiyo umepangwa kufanyika February 11,2022.

“Jina la Mgombea linapaswa kuwasilishwa kwa Msimamizi wa Uchaguzi kabla ya saa 10 Alasiri February 10,2022 katika Ofisi ya Katibu wa Bunge”

Mchakato wa kumtafuta Naibu Spika waanza, hizi ndio taratibu za Bunge Mchakato wa kumtafuta Naibu Spika waanza, hizi ndio taratibu za Bunge Reviewed by Cadotz media on 6:46 PM Rating: 5

No comments

Comment to Cadotz

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

<<< rudi