AUDIO&VIDEO | SEBA TOMMY Ft. ROMMY – ASANTE | Watch/Download


Seba Tommy ni msanii anaefanya Vizur kweny industry ya muziki wa bongo fleva ambae anatamba na ngoma nying ikiwemo silali doro , Adindo na kadhalika lakin pia kw sasa ameachia ngoma mpya ikiambatana na Video inayoitwa Asante , ngoma inaendelea kufanya vzuri katika vituo mbalimbal vya media..hata hivyo mbali na kuimba pia Seba Tommy ni mtunzi wa nyimbo zenye mahadhi mbalimbali. Msanii huyo aliopo katika lebo ya studio za Vinny Music Lab ataendelea kufanya vizur zaidi.

Ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kujivunia huduma zetu pia tunakusogezea uchague unachokitaka katika menyu zetu. NEWS , HEALTH, MUSIC, LOVE, EVENTS, IT TRAIN
AUDIO&VIDEO | SEBA TOMMY Ft. ROMMY – ASANTE | Watch/Download AUDIO&VIDEO | SEBA TOMMY Ft. ROMMY – ASANTE | Watch/Download Reviewed by Cadotz media on 9:50 PM Rating: 5

No comments

Comment to Cadotz

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

<<< rudi