REAKING NEWS: Joshua Nassari afikishwa Mahakamani kwa tuhuma hizi


Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arumeru.

Nassari anakabiliwa na tuhuma za shambulio analodaiwa kulifanya kwa aliyekuwa Mtendaji wa Kata ya Makiba mwaka 2014. Mtendaji huyo bado hajatajwa jina lake.
REAKING NEWS: Joshua Nassari afikishwa Mahakamani kwa tuhuma hizi REAKING NEWS: Joshua Nassari afikishwa Mahakamani kwa tuhuma hizi Reviewed by Unknown on 1:27 PM Rating: 5
Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

<<< rudi