Recodi za watani wa jadi ligi kuu Tanzania

MECHI YA 99 KWA WATANI WA JADI LIGI KUU, 98 ZILIZOPITA NANI KASHINDA ZAIDI?


Na Baraka mfaume, DAR ES SALAAM
WATANI wa jadi, Simba na Yanga Jumamosi watakutana katika mechi ya 99 ya Ligi Kuu na Ligi ya iliyokuwa Ligi Kuu ya Muungano tangu Juni 7, mwaka 1975.
Na katika mechi hizo, Yanga ndiyo iliyoshinda mara nyingi zaidi, mara 36 dhidi ya mara 26 za Simba, huku mechi nyingine 33 timu hizo zikitoka sare.  


Mshambuliaji wa Yanga, Mzambia Davies Mwape (kulia) akimtoka beki wa Simba wakati huo, Kevin Yondan (sasa yupo Yanga) katika mechi ya mahasimu wa jadi ya Ligi Kuu Oktoba 29, mwaka 2011. Yanga ilishinda 1-0, bao pekee la Mwape dakika ya 75 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam 
Recodi za watani wa jadi ligi kuu Tanzania Recodi za watani wa jadi ligi kuu Tanzania Reviewed by Unknown on 9:14 AM Rating: 5
Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

<<< rudi