Nundy: sina tatizo na Ray C


sanii wa bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ amefunguka kuwa hawezi kumchukia msanii Rehema Chalamila ‘Ray C’ kwa sababu ya kutofautiana kwao.

Nandy aliiambia Full Shangwe kuwa, pamoja na Ray C kumtolea povu kuwa asiwe anaimba nyimbo zake, lakini yeye hana kinyongo naye.

Rehema Chalamila ‘Ray C’.
“Sina kinyongo na dada yangu Ray C kwa kile kilichotokea, alichokiposti ni mtazamo wake, sina bifu, sina uhasama naye ,”alisema.
Nundy: sina tatizo na Ray C Nundy: sina tatizo na Ray C Reviewed by Unknown on 10:41 AM Rating: 5
Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

<<< rudi