Hivi Ndivyo Alivyojibu Baraka Da Prince Kuhusu Kufulia Baada ya Kutoka Katika Label ya RockStar4000


Msanii wa muziki Bongo, Baraka The Prince amejibu tetesi za kuyumba kimaisha.

Tangu msanii huyo kuondoka katika label ya RockStar4000 kumekuwa na taarifa zinazodai msanii huyo kuyumba kiuchumi hadi kupelekea kuuza gari kitu ambacho amekikanusha.

“Sijawahi kufanya hivyo, kwanini niuze gari yangu sema hizi fununu, watu wanatengeneza mastori” amesema Barakah.

Barakah kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake ‘Sometime’ ikiwa ni ngoma ya pili kutoka chini ya label yake ‘Bana Music’ baada ya ile ya mwanzo ambayo ilikuwa ya Naj ‘Utanielewa’.
Hivi Ndivyo Alivyojibu Baraka Da Prince Kuhusu Kufulia Baada ya Kutoka Katika Label ya RockStar4000 Hivi Ndivyo Alivyojibu Baraka Da Prince Kuhusu Kufulia Baada ya Kutoka Katika Label ya RockStar4000 Reviewed by Unknown on 2:44 PM Rating: 5
Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

<<< rudi