YANGA YAIOMBA MSAMAHA SIMBA KUELEKEA MECHI NA TP MAZEMBE.
Kuelekea mchezo wao dhidi TP MAZEMBE kutoka Jamhuri ya watu wa Congo,Uongozi wa Yanga chini ya afisa habari na mawasiliano Jerry Muro wamewapigia goti timu na mashabiki wa Simba na kuiomba support yao katika mchezo huo.na pia waliwaalika viongozi wa matawi wa simba ili kufikisha ujumbe huo. Pata uhondo huo.
YANGA YAIOMBA MSAMAHA SIMBA KUELEKEA MECHI NA TP MAZEMBE.
Reviewed by Unknown
on
11:40 AM
Rating:
Reviewed by Unknown
on
11:40 AM
Rating:




Post a Comment