SOMALIA: AL SHABAAB WAWALIPUA WABUNGE WAKIWA KWENYE KIKAO
Kikundi cha wapiganaji wa kiisilamu la Al Shabaab kimeshambulia bunge la Somalia na kusababisha vifo vya watu kadhaa mjini Mogadishu.
Kikundi hicho kimetekeleza azma yao kwa kutumia gari lililokuwa na mabomu ambalo lilipuka leo kabla ya saa sita mchana. Wabunge pamoja na wafanyakazi wengine waliweza kuokolewa punde baada ya gari kulipuka.
.
Kwa upande mwingine hili ni Bunge la kwanza rasmi la Somalia lilianza kufanya kazi miaka miwili iliyopita tangu Somalia kutumbukia katika vita mwaka 1992.
.
Kwa upande mwingine hili ni Bunge la kwanza rasmi la Somalia lilianza kufanya kazi miaka miwili iliyopita tangu Somalia kutumbukia katika vita mwaka 1992.
SOMALIA: AL SHABAAB WAWALIPUA WABUNGE WAKIWA KWENYE KIKAO
Reviewed by Unknown
on
2:16 PM
Rating:

Post a Comment