SHEIKH PONDA ASHINDA KESI

KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Issa Ponda ameshinda kesi ya jinai ya kuingilia eneo la ardhi ya Agritanza Ltd, japo amerudishwa Segerea kwa kuwa bado ana kesi nyingine inayomkabili. Hukumu ya kesi hiyo imetolewa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam chini ya Jaji Augustine Shangwa huku Sheikh Ponda akitetewa na Wakili wake Juma Nassoro. Sheikh Ponda bado anakabiliwa na kesi ya uchochezi ya mkoani Morogoro hivyo alirudishwa Segerea mbali na kushinda kesi…

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam Novemba 27, 2014  imemuachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda baada ya kuona hana hatia dhidi ya kesi ya madai ya Ardhi ya Agrekanza inayomilikiwa na Afidhi Self  iliyokuwa inamkabili.
SHEIKH PONDA ASHINDA KESI  SHEIKH PONDA ASHINDA KESI Reviewed by Unknown on 2:35 PM Rating: 5

No comments

Comment to Cadotz

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

<<< rudi