sababu ya kujiuza sio shida ya PESA,

Habarini wakuu,

Sijafanya full research kwa wadada woote wanaojiuza ila nimegundua wengi wana sifa zifuatazo na mtu akibisha basi abishe kwa hoja:-

1) Kwanza sababu ya kujiuza sio shida ya PESA, nina mfano hai wa mabinti kama 7 hivi wanaojiuza hapa jijini,wana maisha mazuri tu na wamejenga kabisa au wamepanga katika nyumba zenye hadhi tu. Ila usiku ukifika wanawasha magari yao binafsi na kwenda katika business centre zao,halafu hapo wanaenda vijana wateja kama kina sisi ambao hatuna maisha mazuri wala mali kama hao mabinti,saa nyingine huwa wanachukua pesa kimadharau wakijua una maisha ya kawaida sana na wanawajali mapedeshee (wao wanawatambua hata kwa kuwaangalia tu) 

2) Wengi wao wanatambulika kwa sura tu, mwanawake ma..l.aya unaweza ukamtambua kwa sura,kuna namna flani ukiwaangalia mchana ni kama wamevimba macho na macho yanakuwa yamechokachoka na ngozi yao imepauka flani hivi. Niliwahi kuambiwa ni kwasababu huwa hawapati usingizi wa kutosha.

3) Wengi wana hasira na matusi ya hovyohovyo: Hata akiwepo nyumbani tu au mahali pa kistaarabu anaweza akatukana hovyo na kuona ni kawaida. Sijui ni kwanini wanashindwa kujicontrol (hii inaboa sana hata kama dem ni mzuri vipi)

4) Wengi ni watundu sana kitandani na wana pumzi haswa.

5) Wengi wana figure nzuri haswa.

6) Wengi hawafi kwa HIV/UKIMWI,labda kwa sababu zingine za vifo.

7) Wengi wao wanajua sana kuisoma akili ya mwanaume,mara nyingi ukienda kuongea nao biashara wanakuwa tayari wamejua lengo lako kuwa unataka kivipi hadi mbio zako wanaweza kudetermine na hawataki longolongo nyingi.


SWALI LA MSINGI: 

*Kama kweli shida yao ni pesa,waliojiuza kwa miaka mingi na kutajirika mbona bado wanajiuza?

*Ina maana nchi ikija kuwatengenezea ajira hakutakuwa na mabinti wanaojiuza?

* Ina maana wasiojiuza wakikosa pesa watajiuza?

* NI NINI HASA SABABU YAO KUJIUZA?
sababu ya kujiuza sio shida ya PESA, sababu ya kujiuza sio shida ya PESA, Reviewed by Unknown on 10:04 AM Rating: 5

No comments

Comment to Cadotz

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

<<< rudi