Michepuko Embu Ooneeni Huruma Ndoa za Wenzenu..Someni Hapa Jinsi ya Kuandika Meseji Kwa Jamaa yako ili Hata ikisomwa na Mkewe Isiwe Shida

Embu hli suala liangaliwe vizuri ili kutosababisha matatizo ktk ndoa za watu.Jana nimetoka kazini, nikakatext ka mchepuko ka kitambo kidogo.
Mimi: Mambo vipi!
Mchepuko: Poa tu mpenzi wangu.
Aisee nikashtuka nikaidelete sms haraka. Nikajiuliza vipi kama ingepokelewa na mke wangu.
Jamani michepuko ifike mahala mjue kabisa tuko na familia zetu, lakini pia tunawajali. Chondechonde msilainishe sms. Andikeni sms ngumu ngumu., ili hata ikisomwa kwa bahati mbaya na wake zetu wasilete shida.
Mfano:
Mimi: Mambo vipi!
Mchepuko: Poa tu we kizibo, uko poa.
Mimi: We bweg*e nini, niko poa. Umekula
Mchepuko: Nile umenipa hela , f*la nini?
Namna hiyo tuendelee dumisha ndoa. Tunawajali sana michepuko.
Asanteni
Michepuko Embu Ooneeni Huruma Ndoa za Wenzenu..Someni Hapa Jinsi ya Kuandika Meseji Kwa Jamaa yako ili Hata ikisomwa na Mkewe Isiwe Shida Michepuko Embu Ooneeni Huruma Ndoa za Wenzenu..Someni Hapa Jinsi ya Kuandika Meseji Kwa Jamaa yako ili Hata ikisomwa na Mkewe Isiwe Shida Reviewed by Unknown on 10:13 AM Rating: 5

No comments

Comment to Cadotz

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

<<< rudi