Mapenzi ni matamu jamani asikuambie mtu

Habari zenu 
Mapenzi ni matamu jamani asikuambie mtu,ni matamu pale unapopata mwanaume anaejua kujali
anaejua kupenda,
Anaejua majukumu yake katika familia
Anaejua unahitaji nini kitandani
Anaejali hisia zako
Mpole na mkarimu
Jamani ukibahatisha mwanaume wa hivi hutamuacha asilan
Nahisi kutekwa na haya mapenzi jamani nampenda hubby mpaka nahisi kuumwa jamani
Wanaume wapendeni wake zenu wasikie raha hapa Duniani kumbukeni maisha ni mafupi jamani

Mapenzi ni matamu jamani asikuambie mtu Mapenzi ni matamu jamani asikuambie mtu Reviewed by Unknown on 10:14 AM Rating: 5

No comments

Comment to Cadotz

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

<<< rudi