LOWASSA AFUNGUKA; ASEMA HAHUSIKI NA RICHMOND, ILITUNGWA KUMCHAFUA NA HATOHAMA CCM

Waziri Mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa. WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa amesafirisha wahariri wakuu wa vyombo vyote vya habari toka Dar es salaam na kufanya nao mkutano maalum leo nyumbani kwake mjini Dodoma. Katika mkutano huo kwa ufupi Lowassa amesema yafuatayo; 1: Amesema Hahusiki lolote na sakata la Richmond na ndio sababu hata kamati ya Mwakyembe haikuona sababu ya kumhoji. Amesisitiza kuwa cheo cha uwaziri mkuu ndio ilikuwa lengo la kamati ya mwakyembe na spika wa bunge kipindi hicho Samwel Sitta. Amesisitiza hicho sio kikwazo kwake katika kuingia Ikulu kwani sakata la Richmond lilipikwa kumchafua. Amechukua muda mrefu kuzungumzia hili la Richmond na amesema atalisema zaidi Arusha wikendi hii. 2. Anaamini kila mtangaza…

Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa, kwa mara ya kwanza amemtaja Rais Jakaya Kikwete ndiye anayefahamu kwa kina mkataba wa Kampuni ya Richmond uliosababisha nchi kupata hasara ya mamilioni.Lowassa anasema, “mamlaka ya juu” ukiachilia mbali yeye aliyekuwa waziri mkuu wakati huo mkataba ukisainiwa ilikuwa inajua kila hatua na kwamba ndiye alikuwa akimaanisha Rais ambaye kwa sasa ni Jakaya Mrisho Kikwete.
Anayetafsiri mamlaka ya juu ni Mwanasheria wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...

LOWASSA AFUNGUKA; ASEMA HAHUSIKI NA RICHMOND, ILITUNGWA KUMCHAFUA NA HATOHAMA CCM  LOWASSA AFUNGUKA; ASEMA HAHUSIKI NA RICHMOND, ILITUNGWA KUMCHAFUA NA HATOHAMA CCM Reviewed by Unknown on 1:28 PM Rating: 5

No comments

Comment to Cadotz

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

<<< rudi