HAMAD, MAALIM SEIF KUMEKUCHA


Stori: Mwandishi wetu 
VITA ya mahasimu wawili wa kisiasa kutoka CUF Makamu wa Rais wa kwanza wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad na Mbunge wa Wawi Hamad Rashid Mohamed, inaonekana bado mbichi baada ya mjumbe huyo wa Bunge Maalum la Katiba kumlipua bosi wake hadharani. Makamu wa Rais wa kwanza wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad. Jumatatu iliyopita akiwa bungeni, Hamad aliyefukuzwa uanachama wa CUF miaka michache iliyopita, alimponda Maalim
HAMAD, MAALIM SEIF KUMEKUCHA HAMAD, MAALIM SEIF KUMEKUCHA Reviewed by Unknown on 11:27 AM Rating: 5

No comments

Comment to Cadotz

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

<<< rudi