Gigy Money Aopoa Kigogo wa Madini..Mwenyewe Adai Wameshibana



Kazi ipo! Video Queen asiyeishiwa vituko Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ anadaiwa kuopoa kigogo ambaye ni mfanyabiashara wa madini, mkazi wa jijini Arusha ambaye ndiye mwandani wake anayempa jeuri kwa sasa.

‘Ubuyu’ kutoka kwa chanzo chetu ambacho ni mtu wa karibu wa mwanadada huyo unatonya kuwa, licha ya ‘umapepe’ wa Gigy ambaye kwa sasa safari za Dar na Arusha hazikauki, ukweli ni kwamba jamaa huyo hapindui kwake.

Ili kupata mzani wa ubuyu huo, Over Ze Weekend lilimsaka Gigy, alipopatikana kwa njia ya kilongalonga alikiri kuwa na kigogo huyo na kudai kwamba wameshibana sana.
Gigy Money Aopoa Kigogo wa Madini..Mwenyewe Adai Wameshibana Gigy Money Aopoa Kigogo wa Madini..Mwenyewe Adai Wameshibana Reviewed by Unknown on 10:30 AM Rating: 5

No comments

Comment to Cadotz

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

<<< rudi