Aunt Ezekiel: Mimba yangu Sio ya Waziri Nyalandu, Watu Mnaropoka tu Bila Kujua Ukweli

“Kuna binadamu hawajali maumivu ya mtu mwingine, inawezekanaje mtu aanze kuropoka kitu kizito kama hicho tena mtu na familia yake, sasa mtu ambaye ndiye muhusika wa ujauzito huu anajisikiaje?
“Ukweli mimba yangu siyo ya waziri, ifahamike kuwa namheshimu sana mheshimiwa, najisikia vibaya mtu anapoeneza kitu cha namna hiyo,” alisema Aunt kwa uchungu mkubwa" Aunty Ezekie
Aunt Ezekiel: Mimba yangu Sio ya Waziri Nyalandu, Watu Mnaropoka tu Bila Kujua Ukweli
Reviewed by Unknown
on
10:43 AM
Rating:

Post a Comment