Ali Kiba 'Ngoja Nikwambie Ukweli, Sidhani Kama Ninaweza Kuja Kufanya Kolabo na Diamond Platnumz'

Alikiba amedai anaweza kumshirikisha Diamond kama tu akipata wimbo unaomfaa msanii huyo...ila ameendelea kusema ..


Ngoja nikwambie ukweli, sidhani kama ninaweza kuja kufanya kolabo na Diamond, ila nikipata wimbo ambao nadhani kwamba anastahili kuwapo, kiukweli nitamshirikisha lakini kama hastahili haitawezekana,” Alikiba aliliambia gazeti moja la kila siku.

Kwa upande mwingine akijibu swali la kama ana mpango wa kuja kumshirikisha staa wa Marekani, Chris Brown, Alikiba alisema: "Uwezekano wa kufanya upo kwa sababu kila kitu ni mipango kwa hiyo naweza kufanya kolabo na wasanii wa kimataifa na mashabiki watarajie kufanya hivyo.
Ali Kiba 'Ngoja Nikwambie Ukweli, Sidhani Kama Ninaweza Kuja Kufanya Kolabo na Diamond Platnumz' Ali Kiba 'Ngoja Nikwambie Ukweli, Sidhani Kama Ninaweza Kuja Kufanya Kolabo na Diamond Platnumz' Reviewed by Unknown on 10:52 AM Rating: 5

No comments

Comment to Cadotz

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

<<< rudi